TETE FOUNDATION kupitia mradi wake wa “TUNAAMINI KATIKA WEWE” wamekuwa wakigawa mahitaji/vifaa vya shule kwa watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu na wenye uhitaji maalumu kwa kuhakikisha mtoto hakosi shule mwaka mzima kwa sababu ya kutokuwa na mahitaji ya shule (Sare za shule, madaftari, Begi, viatu n.k)……

Zoezi Hilo la ugawaji wa mahitaji ya shule limefanyika tena katika shule ya Sekondari ya Zanaki iliyopo jijini Dar es Salaam kwa watoto ambao wanafanya vinzuri sana darasani Ila wa napitia changamoto ya kutokuwa kuwa na mahitaji ya shule ikiwemo nauli za kwenda shule kila siku na wale ambao wanahitaji kukaa bweni Ila wana shindwa kutokana na kutokuwa fedha.

2 thoughts on “Tete Foundation yagawa mahitaji/vifaa vya shule kwa wanafunzi wa shule ya zanaki sekondari – Jijini Dar es salaam

  • It has survived not only five centuries, but also the leap into electronic typesetting unchanged. It was popularised in the sheets containing lorem ipsum is simply free text.

  • It has survived not only five centuries, but also the leap into electronic typesetting unchanged. It was popularised in the sheets containing lorem ipsum is simply free text

Leave a Comment