Tete Foundation yatembelea kituo cha hopes disabilities na kuwaga mahitaji/vifaa vya shule na fedha kwa ajili ya matibabu

TETE FOUNDATION kupitia mradi wake wa “TUNAAMINI KATIKA WEWE” wamekuwa wakigawa mahitaji/vifaa vya shule kwa watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu na wenye uhitaji maalumu kwa kuhakikisha mtoto Hakosi shule mwaka mzima kwa sababu ya kutokuwa na mahitaji ya shule