TETE FOUNDATION kupitia mradi wake wa “TUNAAMINI KATIKA WEWE” wamekuwa wakigawa mahitaji/vifaa vya shule kwa watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu na wenye uhitaji maalumu kwa kuhakikisha mtoto Hakosi shule mwaka mzima kwa sababu ya kutokuwa na mahitaji ya shule (Sare za shule, madaftari, Begi, viatu n.k
Watoto wenye ulemavu, uhitaji maalumu na wasiojiweza wa Kituo cha Hopes kilichopo Miono Chalinze Pwani, wamepatiwa mahitaji, vifaa vya shule na fedha na Taasisi ya TETE FOUNDATION kwa kushirikiana na wadau.
Afisa Habari
TETE FOUNDATION

It has survived not only five centuries, but also the leap into electronic typesetting unchanged. It was popularised in the sheets containing lorem ipsum is simply free text.
It has survived not only five centuries, but also the leap into electronic typesetting unchanged. It was popularised in the sheets containing lorem ipsum is simply free text