TETE FOUNDATION kupitia mradi wake wa “Tunaamini katika wewe” ambao ni mradi wa ugawaji wa mahitaji ya shule kwa watoto wanaishi mazingira magumu, walemavu, na wahitaji

katika Zoezi la ugawaji wa mahitaji ya shule kama ulivyo desturi yao kila mwanzo wa mwaka,
kwa mwaka huu wa 2025, Zoezi hilo la ugawaji wa mahitaji lilienda sambamba na bonanza la michezo ambalo lililojumuisha shule msingi na Sekondari zilizopo katika kata ya Miono, Chalinze Pwani ambazo ni shule nufaika (wanafunzi) za mradi

Katika bonanza hilo, michezo iliyochezwa ni mpira wa miguu, mpira wa wavu na mpira wa Pete ambapo mahindi wa michezo hiyo alikabidhiwa jezi za michezo

Dhumuni la bonanza hilo ni kuwaleta watoto kwa ukaribu ili waweze kutambuana na kushirikiana kwenye masomo ili kukuza ufaulu katika kata hiyo ya Miono-Chalinze.

2 thoughts on “Tete foundation ya andaa bonanza la “Tunaamini katika wewe Bonanza” ambalo limefanyika katika kata ya miono, Chalinze- Pwani

  • It has survived not only five centuries, but also the leap into electronic typesetting unchanged. It was popularised in the sheets containing lorem ipsum is simply free text.

  • It has survived not only five centuries, but also the leap into electronic typesetting unchanged. It was popularised in the sheets containing lorem ipsum is simply free text

Leave a Comment