Tete foundation kwa kushirikiana na reliance insurance tanzania wa andaa bonanza la “Tunaamini katika wewe Bonanza” ambalo limefanyika katika kata ya Miono, Chalinze- Pwani

TETE FOUNDATION kupitia mradi wake wa “Tunaamini katika wewe” ambao umekuwa ukifadhiliwa na Kampuni ya Bima ya Reliance Insurance Tanzania, ambao ni mradi wa ugawaji wa mahitaji ya shule kwa watoto wanaishi mazingira magumu, walemavu, na wahitaji Kwa takribani

Tete Foundation yagawa mahitaji/vifaa vya shule kwa wanafunzi wa shule ya zanaki sekondari – Jijini Dar es salaam

TETE FOUNDATION kupitia mradi wake wa “TUNAAMINI KATIKA WEWE” wamekuwa wakigawa mahitaji/vifaa vya shule kwa watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu na wenye uhitaji maalumu kwa kuhakikisha mtoto hakosi shule mwaka mzima kwa sababu ya kutokuwa na mahitaji ya shule