TETE FOUNDATION ya Shiriki mahafari ya kidato cha sita (2024) katika shule ya Zanaki High School – Dar Es Salaam.
TETE FOUNDATION kupitia mradi wake wa “tunaamini katika wewe” ambao ni ugawaji wa mahitaji ya shule (Sare za shule, begi la shule, madaftari, pen, socks, viatu n.k) kwa watoto wanaoishi kwenye Mazingira magumu na wenye mahitaji Maalum, moja ya shule wanufaika wa mradi huu ni shule ya Zanaki.
Katika mahafari Mkurungezi wa TETE FOUNDATION Bi. Suzana Senso amekabidhi loptop na kuwapatia bokisi 20 za karatasi ambapo ni sawa na ream 100 za karatasi chini ya ufadhiri wa Mwangaza Stationary Limited.
Katika mahafali hayo, amewaasa wanafunzi wanaotarajia kumaliza shule na wale wanao endelea, kutumia muda wao vinzuri kwenye masomo ilikupata matokeo yaliyo Manzuri ilikuwasaidia kuendelea na masomo yao kwa ngazi ya chuo
#KitaaniKwakoNaTeteFoundation.

It has survived not only five centuries, but also the leap into electronic typesetting unchanged. It was popularised in the sheets containing lorem ipsum is simply free text.
It has survived not only five centuries, but also the leap into electronic typesetting unchanged. It was popularised in the sheets containing lorem ipsum is simply free text